|
Andrew Chenge |
Ni zaidi ya miezi saba imepita toka Bunge litoe mapendekezo kwamba
wahusika wote wa ishu ya ESCROW wawajibishwe, kazi ikaanza kwenye Kamati
ya Maadili ambapo Viongozi mbalimbali walianza kuhojiwa ikiwemo Mbunge
Anna Tibaijuka, Andrew Chenge na William Ngeleja.
Kwa upande wa Andrew Chenge Kamati hiyo ilisimamisha kumhoji kwa vile
alikuwa amepeleka ombi Mahakama Kuu kuzuia kuhojiwa, baadae Mahakama
hiyo ikatoa amri kwamba Kamati ya Maadili inaweza kuendelea na kumhoji.
July 27 2015 ilikuwa Mbunge huyo afike kwenye Kikao cha Kamati ya
Maadili Dar kwa ajili ya kuhojiwa na kuhusika kwake kwenye ishu ya
ESCROW, lakini ripota wa millardayo.com kafika kwenye Ofisi za Kamati
hiyo.
Mbunge huyo hakufika na taarifa iliyotolewa ni kwamba Andrew Chenge
ameomba Kamati ya Maadili ipeleke mbele tarehe ya kusikiliza shauri lake
kwa vile ratiba hiyo inaingiliana na majukumu yake ambayo CCM
imemkabidhi Jimboni kwake Bariadi Magharibi wakati huu wa maandalizi ya
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Monday, 27 July 2015
Post a Comment