Kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kulikuwepo na uvumi kuwa ndoa ya
dada wa Diamond, aitwaye Esma na Petit ipo kwenye ugomvi baina ya
wawili hao.
Leo Soudy Brown kaamua kupiga Stori na Petit kutaka kujua ukweli wa
taarifa hizo lakini mwenyewe hakuonesha utayari wa kuzungumzia undani wa
ishu hiyo.
Ukibonyeza play hapa utamsikia Soudy na Petit Man ilivyokuwa kwenye U Heard.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 11 August 2015
Post a Comment