Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

AWAPONDA WANAOHAMIA UPINZANI

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chadema, wilaya ya Monduli, mkoani Arusha, Amani Silanga amesema wanachama wanaotoka CCM na kujiunga na vyama vya upinzani ni mamluki na virusi wanaotafuta umaarufu wa kimaslahi.

Silanga ambaye pia alihama Chadema na kuingia CCM ambako aligombea ubunge Monduli, alisema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama tawala, mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole na aliyekuwa Mwenezi wa Mkoa, Isack Joseph siyo tishio na ndiyo maana waliachia majimbo matatu kwenda upinzani.

Alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha na kusisitiza kuwa hatua ya viongozi hao kuhama chama, haiwezi kukimomonyoa.
Kwa mujibu wake, wanachama waliohamia upinzani, wamemfuata kiongozi wao aliowaweka katika nafasi zao.
“Ningeshangaa sana kusikia mpaka leo Nangole na Joseph wanabaki CCM na kuendelea na madaraka kwa kuwa waliwekwa madarakani na Edward Lowassa (mgombea wa urais Chadema), ’’ alisema na kuongeza: “Hivyo ni lazima wamfuate kila anakokwenda bila ya hata ya kufikiria mara mbili kwa kuwa wanalipa fadhila ya kuingizwa katika siasa
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top