Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SIKILIZA HAPA; KITAMBULISHO CHA KURA CHA MSABABISHIA KIPIGO HUYU MAMA

Kama ujuavyo tuko katika mchakato wakupata vitambulisho vya kudumu vya kupiga kura sasa huko mwananyamala mama huyu yamempata makubwa baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya yeye kuchelewa kumpikia mumewe Ugali kisa kujiandikisha…Usikose #hekaheka saa sita na nusu upate kumsikia mwenyewe akielezea #leotenacloudsfm

Kama ujuavyo tuko katika mchakato wakupata vitambulisho vya kudumu vya kupiga kura huko mwananyamala huyu mama yamempata makubwa baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya yeye kuchelewa kumpikia mumewe Ugali kisa kujiandikisha
Msikilize mama pamoja na Mwanaharakati bi Janeth Mawinza wakielezea
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top