Hii ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES
mtandaoni. Hawa ni mastaa wa hapa Bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj
Penny.
Kitale alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “
Kuna siku mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.
Mashbiki wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu,
huku wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge
la COUPLE.
Kiufupi kila mtu aliandika lake lakini hadi sasa Kitale hakujibu komenti
hata za mashabiki hao, tuendelee kuisubili hiyo siku mashetani yake
yakimpanda.
Mzee wa Ubuyu
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 19 May 2015
Post a Comment