Kwa nini lowasa aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu,
msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za richmond,
lakini, yeye alipata shinikizo kutoka kwa Mkulu. Ndiyo maana Kuepuka
Mkulu asianguke ilibidi Lowasa ajiuzuru. Vinginevyo Mkulu angetawala
Miaka mitatu tu, Na serikari yake ingehanguka. Sasa leo Loawasa ataongea
Ukweli kuhusu Richmond,ataongea Vitu vyote ambavyo Mwakyembe aliviacha
Kuongea katika Riport yake ,Kwa kuilinda Ikulu.Hata Ongea hayo tu, Pia
ataongea kuhusu wamiliki Halisi wa IPTL, pia atagusia Mambo ya Escrow ni
nani aliyeengeer Mchakato wote wa Escrow, Ataelezea ni nani Anamiliki
Kampuni ya Simba Trust, iliyochukua Bilion 75 kwenye Kashifa ya Escrow.
Riport yote ya Takukuru ipo hewani kuhusu Esrow. Ndugu yetu Lowasa
anatubu na anarudi kundini, Kundi la makamanda, kundi la Kutetea nchi.
The same apply hata Pinda angejiuzuru kwenye kashifa ya Escrow naye
angeitwa Fisadi. (Tatizo la lowasa ni Kukubali kujiuzuru kwa manufaa ya
Serikali ya CCM)
Lowasa atatuambia Fisadi mkuu wa Hii nchi ni nani? Kaeni Mkao wa kura ,
watu wameshaanza kukimbilia nje ya nchi kuangalia pesa zao kama zipo
Salama. Na ninawambia Kuwa SIKU LOWASA ANAAPISHWA RASMI kama RAISI wa
nchi hii.
kuna Watu watakimbia hii nchi, kwa sababu Uozo wote utawekwa Wazi
,hatutangalia Mtu,wa cheo chake Sijui alikuwa nani, Wote ni MAHAKANI.
Tutaendelea kuijenga hii nchi, kila mtanzania afaidike na Rasilimali za nchi yake.
Karibu Lowasa, karibu Ukawa.
Ahsanten.
Bintiwangara.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Monday, 27 July 2015
Post a Comment