Wanajanvi, kiukweli bila kupepesa macho, ukioa mwanamke ambaye hana
bikira hakika umeoa mke wa mtu. Mambo haya yamewakumba wengi,mwanamke
hatakaa akutii kabisa viumbe hawa huwa na shauku ya kupenda akiwa na
hiyo siri na wakati anaitunza mara nyingi huwa anawaza ni jinsi gani
itakavyokuwa siku anatoa hiyo zawadi, anapopata mtu hummwagia furaha
yake na maumivu pia, hapo ndipo hutunza kumbukumbu ya milele ya mfungua
siri huyo, wanawake wengi huwa hawaachi watu hao. Akikutana naye
wanajikumbusha sana, usiombe mkeo awe anaenda mapunziko likizo ya
desemba peke yake, ukiona analazimisha jua kamkumbuka huyo mume na
akienda ataliwa tu. Jamani wasichana tunzeni zawadi hii muhimu
Loading...
Post a Comment