PAMOJA NA MAJIGAMBO LUKUKI KUTOKA KWA SIWEMA HATIMAYE KETE IMEGEUKA NA
KUJIKUTA AKIMWANGUKIA NAY WA MITEGO ILI WARUDIA TAYARI KWA KULEA PAMOJA
MTOTO WAO!! Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni ndugu wa
Siwema kilieleza kuwa, pamoja na maneno ya shombo aliyommwagia Nay
wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka nyodo kando na kuomba
asamehewe..... Kilidai kwamba hivi karibuni, mmoja wa dada wa Siwema
(jina linahifadhiwa) amekuwa akimpigia simu Nay akimuomba arudishe moyo
wake kwa Siwema, kwani tangu aachane naye mambo yamekuwa yakienda kombo
ikiwemo ule msala wa kesi inayoendelea mahakamani ya kujipatia mali
isivyo kihalali.
Baada ya kumwagiwa ubuyu huo, lilituma kijumbe kumfikishia Nay ombi hilo la Siwema ambapo alikuwa na haya ya kusema:
- “Kweli nimepokea simu za msamaha. Nimemsamehe lakini siwezi kurudiana naye.”
Kwa upande wake mama Nay alisema yeye ndiye alikuwa mtetezi wake lakini kwa sasa hataki kusikia ishu hiyo.
GPL
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Sunday, 7 June 2015
Post a Comment