Serikali ya Burundi imetangaza kuwa uchaguzi wa rais na wabunge
uliotarajiwa kufanyika Ijumaa hii umehairishwa mpaka tarehe nyingine
itakapopangwa.
Msemaji wa rais Nkurunzinza,Wily Nyamitwe amesema kuwa tarehe itapangwa na wasimamizi wa uchaguzi wa nchi hiyo.
Mabadiliko hayo yamekuja kutokana na taifa hilo kuingia kwenye machafuko
tangu Rais Piere Nkurunzinza kutangaza nia ya kuongoza kwa awamu ya
tatu baada ya kuwa rais kwa miaka 10.
Umoja wa Mataifa imeelezea jinsi mgogoro huo ulivyoongeza idadi ya wakimbizi wanaoikimbia Burundi na kukimbilia nchini Tanzania.
Hata hivyo umoja wa Afrika mashariki unadaiwa kushindwa kutoa amri
dhidi ya Rais Nurunziza kutokana na kutaka kujiongezea muda wa kukaa
madarakani kinyume na katiba ya nchi hiyo suala linalopingwa vikali na
wananchi wa nchi hiyo.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Thursday, 4 June 2015
Post a Comment