Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Suruali ya kubana ilivyo hatarisha maisha ya mwanamke huyu hadi kupelekwa hospital

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 35 alilazimika kutolewa ndani ya suruali ndefu aina ya Jeans, baada ya miguu yake kuvimba kupita kiasi. Hayo ni kwa mjibu wa jarida la Neurology, ambalo huandika habari kuhusu upasuaji. Alichuchumaa kwa muda mrefu sana ili kuondoa bidhaa ndani ya kabati alipokuwa akijiandaa kuhama nchini Australia.

Ilipofika jioni, miguu yake ilikuwa imekufa ganzi na akashindwa kutembea. Madaktari waanamini kuwa mwanamke huyo alipatwa na maradhi yanayojulikana kama compartment syndrome, ambayo yalisababishwa na suruali yake ndefu yenye kubana mno. Ugonjwa huo ni mbaya sana na husababishwa na kujuja kwa damu na kuvimba kwa misuli.

Tatizo hilo lilimfanya mwanamke huyo kuteguka na kuanguka na akashindwa kuinuka. Alisalia ardhini kwa saa kadhaa. Alipofikishwa katika Hospitali ya Royal Adelaide, sehemu ya chini ya miguu yake ilikuwa na uvimbe m'baya.

Ingawa miguu yake ilikuwa na joto na damu ilikuwa ikisambazwa vyema, misuli yake ilikuwa haina nguvu na ilikuwa imeshapoteza hisia. Madaktari wengine wamesema kuwa wamepokea visa kadhaa ambapo wagonjwa wamelalamikia kudungwa dungwa pamoja na kuganda kwa mapaja, baada ya kuvalia suruali zinazobana.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top