Kila siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi kufariki dunia.
Kwa hali ya kawaida unaweza kushangaa wanawezaje kufanya party wakati wa msiba sasa Idara ya
Hekaheka inakukutanisha na vvijana hawa waliokuwa wakicheza ngoma na kushangilia baada ya msiba huo.
88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.

Post a Comment