Mafuriko makubwa yaliyoikumba jiji la Accra nchini Ghana usiku wa
kuamkia juzi na kuleta maafa ya kuua watu 175 wakiwa wamejihifadhi
kwenye kituo cha mafuta baada ya kituo hicho kulipuka moto,yamemkumba
pia Staa wa filamu nchini humo Van Vicker akiwa barabarani akielekea
nyumbani kwake.
Kupitia akaunti yake Instagram Van Vicker aliandika kuwa ameshuhudia
mafuriko kwa macho yake (live),huku taa za barabarani zikiwa
haziwaki,kuna mashimo,matakataka,umeme ukiwa umekatika na barabara
zilikuwa zimefurika maji, na magari yalikuwa yameharibika.
Pia aliongeza kuwa waliokuwa wakitembea barabarani walikuwa wakitafuta
pa kujihifadhi,madereva walipaniki na bado wakati huo mvua ilikuwa
ikinyeesha na pia foleni ilikuwa kubwa na barabara ni ndogo.
Ambapo alisema kuwa kawaida huwa inamchukua dakika 45 kwenda nyumbani
kwake lakini siku hiyo ilimchukua masaa sita kufika nyumbani kwake.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Sunday, 7 June 2015
Post a Comment