Uhusiano
wa kimapenzi kati ya Lil Wayne na Chistina Milian sio siri tena
japokuwa wawili hawa hata kwenye interview wamekua hawako huru sana
kuongelea mapenzi yao.
Vitendo tu ndio vinaongea sasa hivi ambapo
Christina Milian amechora tattoo mpya ambayo inaonganisha herufi za
majina yao wote wawili kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu, Love hard TnT
Kama
hiyo haitoshi, Chistina Milian ameendeleza mapenzi yake zaidi kwa
kuonyesha penzi lake hata nje ya moyo kwa kupitia hii bracelet ya TNT
ambayo inasimama kwa Tina na Tunechi.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 14 May 2015
Post a Comment