Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova
amekanusha kupiga marufuku maandamano ya kumsindikiza Lowassa
Kuchukua fomu ya kugombea urais ofisi za tume ya taifa ya
uchaguzi.
Kova amesema kuwa maandamano wanayo yatambua ni yale yanayo anzia ofisi
za CHADEMA kwenda NEC,lakini ya kutoka Nec kwenda makao makuu ya CUF
Buguruni hawayatambui.
Katika Hatua nyingine, Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema
hawana taarifa yoyote ya zuio la maandamano toka jeshi la
polisi.
Mbowe amesisitiza kuwa maandamano ya kumsindikiza Lowassa NEC
yako palepale na amewataka wapenzi na wafuasi wa UKAWA
wasiogope.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Monday, 10 August 2015
Post a Comment