Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’
amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka
picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo
wataendelea atawachukulia mabwana zao.
Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo
wanaongoza kumtukana kila akiweka picha za kuonyesha jinsi Mungu
alivyolia kumuumba na kumpa mapaja yenye ushawishi kwa kila
anayeyaangalia awe wa kike ama wakiume.
“ Mungu amenijalia akuwa na hips nzuri , makalio makubwa na muonekano
mzuri kwa watu sasa kwa nini wananitukana kana kwamba ninawabebea
mabwana zao na endapo wataendelea nitafanya hivyo ili waseme vizuri
kwani nimechoka kusemwa kwani nina uhuru wa kuweka picha yoyote
ilimradi haivunji maadili ya Kitanzania,” alisema Aunty Lulu.
Alisema kamwe hataacha kufanya hivyo kwani yupo huru na anajua nini
anakifanya na si kuongozwa na watu tena wanawake wenzake ambao kwa
kiasi kikubwa wamejaa wivu kuliko wanaume.
Tanuru la Filamu
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 7 July 2015
Post a Comment