Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.
Sasa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe leo amefunguka
kuhusu chama chake kumteua mgombea au kuunga mkono mgombea cha chama
kingine.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewahabarisha wananchi kwa
kusema…’Chama chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama
kingine kwa maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama Kiongozi wa chama sina
mamlaka yeyote yale kutangaza mtu kuwa mgombea wetu’ – @zittokabwe
Hivi sasa Uongozi mzima wa Chama upo kwenye retreat ili kujipanga na
uchaguzi. Hatuna mazungumzo wala makubaliano na mtu yeyote kutoka chama
kingine kuhusu nafasi ya Urais. Mgombea wetu atapatikana kwa kupitia
vikao vya chama chetu…’ -@zittokabwe
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Saturday, 11 July 2015
Post a Comment