Diamond Platnumz amesema kuwa ameshafanya collabo na wasanii A-list
karibu wote wanaofanya vizuri Afrika, lakini hakuna hata mmoja ambaye
amewahi kumlipa wala wao kumlipa kwaajili ya collabo hizo.
“Nimefanya collabo na wasanii tofauti tofauti, karibuni A-list wote ya
wanaofanya vizuri Afrika nimeshafanya nao.” Alisema kupitia XXL ya
Clouds Fm.
Ameongeza kuwa mwanzoni haikuwa rahisi kufanya nao kutokana na kwamba wengi walikuwa hawamfahamu tofauti na ilivyo sasa.
“Kiukweli sijawahi kufanya malipo ya mtu yoyote kufanya naye nyimbo.
Mwanzoni wakati naanza kufanya ilikuwa kidogo tabu kwasababu mtu alikuwa
hajafahamu anafanya nyimbo na nani, lakini sasa hivi wanafahamu
kwamba…nikifanya nyimbo na Diamond, East Afrika mimi kwangu inakuwa
kiurahisi nyimbo yangu, na upande wangu mimi inakuwa ni rahisi kwa West,
kwahiyo tukichanganya inakuwa rahisi zaidi.
"Kwahiyo hakuna mtu ambaye nimeshawahi kumlipa wala yeye mimi kunilipa hii ni uongo sijawahi kufanya hivyo.”
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 7 July 2015
Post a Comment