Wakaka wengine wana haraka sana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi mpaka
ku fake maisha. Hata muondoko na kuzungumza atabadilisha, ataazima gari
na kudanganya ni lake, nguo ataazima, au hata kazi hana lkn atadanganya
eti nina degree au nafanya kazi mahali fulani kumbe muongo...atasema ana
kiwanja mahali fulani, ana hiki na kile kumbe anataka ampate msichana
msichana fulani....tena ukute msichana mwenyewe atampenda kwa dhati si
sababu ya maneno matamu na mali alizotajiwa.... Msichana ukikutana na
mkaka wa hivyo anaanza kujinadi nina hiki, kampuni, baba yangu bosi mama
yangu vile...kaka yangu anaishi ulaya...huyo kaka ni muongooo hata kama
kuna ukweli ni asilimia 5/100
Jaman wakaka msijaribu kufanya hivyo. Sawaa utampata msichana kwa njia
hizo...lkn hamtadumu na mwisho utakua mbaya sana maana umejenga
mahusiano yako kwenye uongo. Uwe wewe, huna pesa, huna gari huna lolote
mtu atakupenda jinsi ulivyo si ulivyonavyo.
~Mrekebishatabia
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Sunday, 5 July 2015
Post a Comment