Mnenguaji wa kike nchini Misri amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la kuonekana kwenye video yenye utata mtandaoni.
Ametiwa hatiani na mahakama moja nchini humo kwa kosa la kuchochea
ufisadi baada ya kuonekana katika video yenye utata katika mtandao.
Reda al - Fouly alitiwa mbaroni mwezi Mei mwaka huu, mara baada ya video
hiyo ya miondoko ya Pop kuoneshwa hadharani na baadaye kudhihakiwa kuwa
imeenda kinyume na tamaduni za kiarabu.
Muimbaji huyo wa kike alitakiwa kufafanua mavazi -aliyoyava kwenye wimbo unaoitwa Sib Eddi au let it go of my hand.
Mkurugenzi wa video hiyo, Wael Seddiki , aliondoka nchini Misri wakati wimbo huo ulipoanza kupondwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment