Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Magufuli Aundiwa Zengwe na Wapinzani Wake


Mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, Dk.John Pombe Magufuli, anaundiwa zengwe zito na wapinzani wake kisiasa baada ya kubaini kuwa watapata taabu kubwa kuibuka na ushindi katika patashika hiyo itakayofanyika Oktoba mwaka huu.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, zengwe hilo linahusu kile kinachodaiwa kuwa ni kuanza kwake mapema kufanya kampeni katika mikutano kadhaa anayoifanya kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini, tangu alipoibuka kidedea katika vikao vya mchujo ndani ya chama hicho tawala, vilivyomalizika hivi karibuni mkoani Dodoma.

Akizungumzia tuhuma hizo, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema siyo kweli kwamba mgombea wao ameanza kampeni mapema, bali kinachofanyika ni utambulisho kwa wanachama wenzake wa CCM, ili wamtambue, kwa kuzingatia kuwa ni mwenyekiti mtarajiwa wa chama hicho tawala.

Alisema ni vigumu kwa mgombea huyo kupita mkoa wowote bila kwenda kwenye ofisi ya chama kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuanza kwa kampeni baadaye mwezi ujao.

Akiwa mkoani Mwanza wiki iliyopita, Dk. Magufuli alisema yupo njiani kwenda nyumbani kwao Chato na kukanusha juu ya kufanya kampeni, kwani kinachofanyika ni utambulisho na salamu tu.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top