Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HIZI NDO PICHA ZA MAJAMBAZI WALIO FANYA TUKIO LA MAUAJI YA POLISI NA RAIA KITUO CHA STAKISHARI DAR ES SALAAM


Hii ni story nyingine kutoka kwenye ile ishu ya kuvamiwa kwa kituo cha polisi cha stakishari Jijini Dar es salaam ambapo askari wane na wananchi waliuawa na wale waliotambulika kama majambazi na kupora silaha kadhaa na kutoweka nazo.


Leo kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam alijitokeza mbele ya wanahabari na kuja na mafanikio ya msako mkali unaoendeshwa na jeshi la polisi ambapo hadi sasa majambazio watano wamekamatwa huku watatu kati yao wakiwa wameuawa na jeshi la polisi,huku silaha zilizoibiwa kukutwa katika maeneo ya mkuranga zikiwa zimefukiwa chini tayari kwa ualifu.


Sasa pamoja na mafanikio hayo polisi wanasema kuwa bado kuna majambazi waliohusika na lile tukio hawajakamatwa na kuna silaha nyingine bado hazijakamatwa,bahati nzuri jeshi la polisi limefanikiwa kukamata majina na picha za hao ambao bado hawajakamatwa.
Majina yako hapa kama picha juu zinavyoonyeshwa na kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam


MAJINA YA MOST WANTED


1-ABDULAZIZI AHMAD ABDULRASHID maarufu kama USTADH ABDULAZIZI anaishi jijini Dar es salaam na ndiye kiongozi wa kundi hilo la wahalifu.


2-SHABAN MOHAMED MTUMBUKA maarufu kama AMIR SHABAN NDOBE


3-HANNAFI JUMANNE KAPELA


4-HASSAN HAROUNA ISSA maarufu kama DR SHUJAA


5-ZAHAQ RASHID NGAI maarufu kama MTU MZIMA


6-ABUBAKAR NGINDO maarufu kama ABU MUHAMMAD


7-KHAMIS RAMADHAN Jeshi la polisi linaomba popote uonapo hizi sura wajulishe polisi popote ulipo.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top