Kipengele cha msanii bora wa kike bendi hakina washiriki katika ugawaji tunzo usiku wa leo.Huu ni unyanyapaaji wa hali ya juu wasanii wakike wa bendi Aneth Kushaba kutoka Sky Light band na Luiza Mbutu kutoka Twanga Pepeta ambaye aliadhimisha miaka zaidi ya kumi akiimba mziki huo.Kili award inabidi watoe ufafanuzi hawa madada wanaimba mziki gani.
Loading...
KILI MUSIC AWARD KUWANYANYAPAA WASANII HAWA USIKU WA LEO.

Post a Comment