Bernard Membe: Bilioni zaidi ya 200 umehusika kupata isivyo halali katika mradi wa Vitambulisho vya Taifa, sasa unazitumia kununua Urais
Dr Willibrord Slaa @willibrordslaa Jun 10
January Makamba: - Kila siku wananchi wanaibiwa mabilioni katika mauzo ya data pekee (8MB). Hili lilifikia wapi? Telecoms zimekuwa miungu.
Dr Willibrord Slaa @willibrordslaa Jun 10
Ngeleja: Watanzania hawana kumbukumbu ya nzi kusahau ubadhirifu wa mabilioni chini ya uongozi wake kama Waziri - Nishati na Madini.
Dr Willibrord Slaa @willibrordslaa Jun 10
Lowassa: Tumemtaja katika Orodha ya Mafisadi waliofikisha nchi hii katika hali mbaya kabisa, kilele kikiwa sakata la Richmond. #CCMOut
Dr Willibrord Slaa @willibrordslaa Jun 8
Umekuwa kiongozi ndani ya Chama & Serikali iliyopo, leo unajinadi kwamba utaifufua Tanzania, unamaanisha uko ndani ya Chama na Serikali mfu?
Dr Willibrord Slaa @willibrordslaa Jun 3
Post a Comment