NI kweli kabisa dunia imekwisha! Kanisa la Maombezi la Ebenezer Deliverance la Mbezi ya Salasala jijini Dar lililo chini ya Mchungaji Benson Shirima limegeuzwa danguro la kufanyia ‘usodoma’ kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Benaco waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo.
Kufuatia kushamiri kwa vitendo hivyo kwenye kanisa hilo, wazazi wa wanafunzi hao na wasamaria wema walikwenda kutoa taarifa kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa Kilimahewa, Kata ya Wazo, Mbezi Salasala na kuweka bayana kila kitu.
Watoto hao wakiwa katika hali ya kushangaa baada ya ya wasamaria wema kufika eneo hilo.
KISA CHA KUTOA TAARIFA
Awali ilidaiwa kuwa, baadhi ya wanafunzi kwenye eneo hilo walikuwa wakisakwa na wazazi wao kwani waliondoka majumbani wiki kadhaa kwenda shuleni lakini hawakurudi na shuleni hawakuwepo.
“Hata walimu walisema wanafunzi hao hawafiki shuleni na majumbani hawapo. Ndiyo tuliposikia kuna kanisa limefanywa geto tukaamua kwenda serikalini kutoa taarifa ili uongozi wa serikali ujipange tukavamie,” alisema mtu mmoja akiomba hifadhi ya jina lake.
Godoro ambalo watoto hao walikua wakilitumia kulala na kufanyia vitendo viovu. UAMUZI WA SERIKALI YA MTAA
Maelezo ni kwamba, baada ya taarifa hiyo kufikishwa ofisini hapo, wajumbe wa ofisi hiyo na vijana wa ulinzi shirikishi wakiongozwa na mwenyekiti wa ofisi hiyo, Kulthum Juma walikwenda kulivamia geto hilo kwa lengo la kulisambaratisha.
Watoto hao wakionyesha ni jinsi gan wanavyoshirikiana na mbwa katika eneo hilo walilokutwa. OFM WAPASHWA
Wakati safari hiyo ikiandaliwa, mmoja wa wanyetishaji wetu alipiga simu kwenye Ofisi za Global Publishers, kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, Bamaga- Mwenge, Dar na kuweka bayana kila kitu ambapo bila kuchelewa mmoja wa makachero wa OFM alitumia usafiri wa pikipiki iendayo kasi na baada ya dakika chache alikuwa ameshafika Salasala.
Wasamaria wema wakikagua eneo hilo ambalo watoto hao walilkuwa wanalitumia kwa ajili yavitendo viovu.
KILICHOKUTWA GETO
Kama wewe ni mzazi lazima ushtuke! OFM, wazazi na ulinzi shirikishi walilivamia geto na kuwanasa wanafunzi wakifanya ngono na mbwa lakini baadhi yao walifanikiwa kuchoropoka kupitia juu ya paa huku wengine watano walikamatwa.
WALIOKAMATWA!
Miongoni mwa wanafunzi waliokamatwa ni; (kwa jina moja kwa sababu maalum,) David, Goodluck, Joseph, Mrisho na aliyetajwa kuwa kiongozi wao, Juma aliyefaulu darasa la saba na kuteuliwa kwenda katika Shule ya Sekondari ya Twiga, Dar lakini akakataa kuendelea na masomo! Inauma sana!
MAAJABU YA MBWA
Katika hali isiyotarajiwa katika akili za kibinadamu, wakiwemo wazazi wa watoto hao, mbwa waliokutwa kwenye danguro hilo, kwa kuzoea kuingiliwa na binadamu, hata msafara huo ulipovamia wao (mbwa) waliendelea kuwasogelea kimahaba wanafunzi hao.
Mbwa hao walionesha hisia zao hadharani jambo lililomfanya, Edresi ambaye ni mama mzazi wa mwanafunzi David kuangua kilio kama mzazi mwenye uchungu.
WAELEZA WALIVYOKUWA WAKIISHI
Baada ya kibano kizito, wanafunzi hao walianza kueleza jinsi walivyokuwa wakiwaingilia kimaumbile mbwa hao na jinsi walivyokuwa wakipata chakula kwa kuiba kuku, mahindi, pesa na vitu vingine mitaani.
WAMTAJA DADA ANAYEWAPIKIA
Wanafunzi hao, walimtaja msichana mmoja aliyefahamika kwa jina la Salome ambaye ndiye mpishi wao kwenye danguro hilo.
MSAFARA KWA MPISHI
Baada ya kumtaja msichana huyo, msafara huo ulitia timu nyumbani kwa Salome ambaye baada ya kubanwa alisema alishawahi kuwapikia mara moja.
MCHUNGAJI WA KANISA HILO ANENA
Kwa kutumia namba za simu zilizokutwa kwenye vipeperushi vya matangazo ya mikutano ya hadhara ya Neno la Mungu ya kansia hilo na kwenye bango la utambulisho wa jina la kanisa, kando ya barabara, paparazi wetu alifanikiwa kuzungumza na Mchungaji Benson ambaye alikiri kulimiliki kanisa hilo.
“Ndugu mwandishi ni kweli mimi ndiye mchungaji wa kanisa hilo lakini kwa sasa niko mbali na huko lakini nimeshapigiwa simu hivyo nitakuja kuweka mambo sawa.
“Kama hao wanafunzi wanaishi humo watakuwa wamevunja na kuingia wenyewe. Vipi, kitanda na vile vyuma vya jukwaa na vitu vingine umevikuta?” mchungaji alimuuliza paparazi wetu.
“Vipo baba mchungaji, nimeviona,” alijibu paparazi wa OFM.
MWENYEKITI WA MTAA
Akizungumzia tukio hilo, mwenyekiti wa mtaa huo aliyeongoza msafara huo aliwaomba wazazi wenye watoto hao kupima afya zao kwani ilidaiwa kuwa walikuwa wakiingiliana hata wenyewe kwa wenyewe na kuna uwezekano mkubwa wa kupata maradhi ya ngono ambayo hupatikana zaidi kwa mbwa na binadamu.
Post a Comment