
Kutokana na kero zinazowakumbuka wananchi kuhusu suala la elimu,
maji na afya taasisi ya utafiti wa Maendeleo ya Elimu nchini Tanzania
(TEDRO) imetoa ripoti ya tafiti yake iliyofanya mikoa mbali hapa nchini
juu ya Viongozi wanaoaminiwa na wananchi kuwa wakikamata nchi wanaweza
kumaliza matatizo hayo.
Kutokana na ripoti hiyo ya Taasisi ya utafiti (TEDRO) inaonesha kuwa endapo uchaguzi ukifanyika leo chini Tanzania, Mh. Edward Lowassa, Mwigulu Nchemba na Dr. Slaa ndio wenye nafasi kubwa ya Kushinda nafasi hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa
TEDRO Joseph Kateli amesema Utafiti huo umefanyika kwa kuzungumza na
Watanzania kadha wakadha mikoa tofauti ya Tanzania na kila mmoja alikuwa
na uhuru wa kumtaja kiongozi anayemtaka
Kura hizo ni kama ifuatavyo
1. Edward Lowassa 26%
2. Mwigulu Nchemba 23%
3. Dr. Wilbroad Slaa 22%
4. Ibrahim Lipumba 7%
5 Prof. Mark Mwandosya 6%
6. Mizengo Pinda 5%
7. John Magufuli 3.8%
8. Bernard Membe 3%
9. Fredrick Sumaye 2%
10. Steven Wassira 1.80%
Nini maoni yako juu ya utafiti huu?
Kura hizo ni kama ifuatavyo
1. Edward Lowassa 26%
2. Mwigulu Nchemba 23%
3. Dr. Wilbroad Slaa 22%
4. Ibrahim Lipumba 7%
5 Prof. Mark Mwandosya 6%
6. Mizengo Pinda 5%
7. John Magufuli 3.8%
8. Bernard Membe 3%
9. Fredrick Sumaye 2%
10. Steven Wassira 1.80%
Nini maoni yako juu ya utafiti huu?
Post a Comment