Mateka Ziad Abdel’al Abu Tarek akijichimbia kaburi lake kabla ya kuchinjwa na Kundi la ISIS.
VIDEO iliyotolewa na Kundi la Wapiganaji wa ISIS hivi karibuni
inamuoyesha mateka anayedaiwa kuwa mpelelezi wa Syria akijichimbia
kaburi lake kabla ya kuchinjwa na wapiganaji wa kundi hilo.
Mpiganaji wa ISIS akiwa tayari kumchinja mateka huyo.
Video hiyo inamuonyesha mateka huyo akichukua sululu na koleo na
kuanza kuchimba kaburi lake na baadaye gari la ISIS linaonekana
likiwasili eneo hilo likiwa na bendera ya ISIS kisha anaonekana
mpiganaji wa ISIS akiwa nyuma ya mateka huyo aliyepiga magoti akisubiri
kuchinjwa.Kabla ya kuuawa mateka huyo alipewa fursa ya kutubu makosa yake.
Mateka huyo akielekea kuchukua sululu na koleo kwa ajili ya kuchimba kaburi lake.
Akiongea kwa lugha ya Kiarabu, mateka huyo aliyejitambulisha kwa jina
la Ziad Abdel’al Abu Tarek anaseama kuwa anatokea Al-Qaryatayn, Mji
uliopo katikati mwa Syria, na anaeleza kuwa kazi yake ni upelelezi.
Mateka huyo akitubu kabla ya kuuawa.
Alihitimisha kwa kusema: "Nilimuua Abu Hassan, Islamic State wakaja na kunikamata."
Post a Comment