Baadhi ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la East Coast, Gwamaka Kaihura GK na Mwana FA wakikamua.
Shetta akipagawisha jukwaani na baadhi ya warembo waliohamasika na wimbo wake wa ‘Shikorobo’ na kuamua kuungana naye jukwaani.
Chege na Temba wakionyesha uwezo wao.
Kundi la Makomando likiimba.
Msanii wa Bongo Fleva, Msamy, akipagawisha.
Shetta akicheza na mrembo jukwaani.
Mwana Hip Hop Fid- Q akikamua.
Chege akiimba na shabiki.
Joh Makini akiwajibika.
WASANII mbalimbali wa Bongo Fleva usiku wa kuamkia jana walikusanyika
ukumbi wa Mashujaa Grill & Lounge (zamani ulijulikana kama Business
Park) uliopo Victoria jijini Dar es Salaam, ambapo walifanya makamuzi
ya pamoja kwenye tamasha lililobeba jina la Bongo All Stars.
Habari/GPL
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment