Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bongo bibie Wema Sepetu
ameandika maneno mazito sana kwenye mtandao maarufu wa Instagram ambayo yamevuta hisia za watu mbali mbali wakiwemo ma superstar wengine ndani ya Bongo.

Post a Comment