Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Faiza bado anadunda na mwanaye

faiza_ally666Mrembo ambaye hivi karibuni jina lake limezidi kukua, Faiza Ally aliyezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ bado anadunda na mwanaye tofauti na watu wanavyofikiri kuwa Sugu kamchukua.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, tangu mahakama iamuru kuwa mtoto achukuliwe na baba yake, haikuwa hivyo kwani Sugu alitaka mzazi mwenzie huyo ajifunze kuvaa vizuri.
“Yaani ile ilikuwa kama kumpa fundisho Faiza, ajifunze kuvaa vizuri lakini Sugu hakuwa na lengo la kumchukua mtoto wake kama watu walivyokuwa wakidhani,” kilisema chanzo.
Hata hivyo, Faiza alisema hata kama hajamchukua lakini siyo sababu ya yeye kushindwa kuendelea kudai haki ya kuishi na mwanaye hadi atakapofikisha umri wa kuishi na baba yake.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top