MSANII wa muziki nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’, wiki iliyopita
ameshinda tuzo ya msanii bora anayejua kuvaa vizuri kwa upande wa
wanawake.
Tuzo hizo ziliandaliwa na kampuni ya Jumia Kenya Glamour ya nchini humo
ambayo imemuwezesha kuwashinda wasanii wa kike wote nchini humo.
“Nashukuru kupata tuzo hiyo, ninaamini kuwa watu wananitazama na ndiyo
maana nimepewa tuzo hiyo, huu ni wakati wa watu kujifunza kutoka
kwangu,” alisema Avril.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 11 August 2015
Post a Comment