Katika
mchezo wake wa jana dhidi ya West Ham, mlinda mlango mpya wa Arsenal,
Petr Cech alikuwa na mwanzo mbaya katika ligi kuu England baada ya
kuruhusu mabao mawili ya kizembe katika dimba la Emirates.
Goli la kwanza lililofungwa na Cheikhou Kouyate Cech alionekana kuchelewa kutoka langoni na kupelekea kuukosa mpira hatimaye kupigwa kichwa na Kouyate na kutinga moja kwa moja kimiani.
Kwa upande wa goli la pili ambalo lilifungwa na Mauro Zarate Cech alionekana kusita kwenda upande ambao mpira ulikwenda na wakati akiufuata mpira huo tayari alikuwa ameshachelewa na kusababisha kuruhusu goli la pili kuingia kirahisi.
Baada ya hayo yote kutokea, hivi ndivyo Cech alivyokejeliwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii hasa Twitter.

Post a Comment