Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa kuna mpango wa haraka unaandaliwa
ili kutengua adhabu iliyotolewa kwa wabunge zaidi ya 35 kutohudhuria
vikao vya Bunge.
Sababu hasa ni kuwa inavyoonyesha ni kuwa hata wale ambao hawana hiyo
adhabu nao wameamua kususia ili kuwaunga mkono wenzao na jambo hilo
litakuwa la aibu sana kwa Bunge na Rais kuhutubia wabunge wa CCM Pekee
ilihali nchi inajinadi katika jumuia ya kimataifa kama ya demokrasia ya
vyama vingi.
Ikumbukwe pia hotuba ya kuvunja bunge kwa JK itakuwa kama ya kuhitimisha
uongozi wake na mahusiano yake na mhimili huu unaowakilisha wananchi.
Kinachoogopwa ni picha gani itajengeka kwa mataifa mengine wahisani
ukizingatia kutakuwa na mwaliko wa mabalozi na wawakilishi wa mashirika
wahisani.
Nikipata updates au yeyote basi tuziweke ili tuone huu mtanange unaishaje ili kuokoa aibu kwa kiongozi wa nchi.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Monday, 6 July 2015
Post a Comment