
Aliyewahi kuwa swahiba wa mbunge mtarajiwa Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo wa kumpiga vijembe Wema.
“ Naepukana na unafiki tena naweza kusema ni roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yanatumia muda mwingi kuwadis wengine, mfano hivi sasa wakata Diamond anawania tuzo za kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema Snura.
Snura anadai kuwa siku hizi makundi ambayo yanaundwa na wasanii au wapenzi wenyewe ambayo yanatumika vibaya katika kutengeneza ugomvi au kushabikia wasanii wakigombana kwa kutumia mitandao ya kijamii kuwatusi na kuwakatisha tamaa hata kama wanafanya kazi zinazotangaza Taifa.
Wema Sepetu ni miongozni mwawasanii ambao wanadaiwa kuhamasisha kundi lake “team Wema” kumpigia chepuo msanii wa Nigeria Davido ambaye anachuana na Diamond wa hapa nyumbani katika tuzo za MTV Africa MAMA .
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Monday, 6 July 2015
Post a Comment