Imelda MtemaMSANII zao la Kundi la Sanaa la Kaole, Mwasiti Mohamed ‘Sishi’ zimeanikwa katika mtandao wa kijamii wa Instagram zikimuonesha wakati akijifungua akiwa kwenye uchungu mkali. Sishi ambaye kwa sasa anaishi Ufaransa, katika picha hizo alionekana kusaidiwa na mama aliyejulikana kwa jina la Bi. Rukia, ambaye ndiye aliyempeleka nchini humo, huku mashabiki
walioziona picha hizo baadhi wakimuonea huruma huku wengine wakishangazwa na kitendo hicho wakidai hakikuwa cha kimaadili.
Gazeti hili lilipowasiliana na Bi. Rukia kwa njia ya mtandao wa WhatsApp alisema; “Mbona hakuna cha ajabu jamani? Ile ni kumbukumbu tu na huku ni vitu vya kawaida mno, sasa watu wakichukulia kama ishu kubwa mimi nitashangaa sana kwa kweli.”
Post a Comment