WAHESHIMIWA Jakaya Mrisho Kikwete (Luteni
Kanali Mstaafu au Retired Lieutenant Colonel) na
Abdulrahman Omari Kinana (Kanali Mstaafu au
Retired Colonel), siku ya kuhitimisha na kustaafu
utumishi wao kwa JWTZ, Oktoba 1992. Hii ilikuwa
ni miezi mitatu tangu kutangazwa kuanza rasmi
kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania,
Jumatano Julai 1, 1992

Post a Comment