Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAGUFULI ATAMBULISHWA KWA WAKAZI WA DODOMA

 
Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM kwenye ukumbi mpya wa mikutano wa CCM ujulikanao kwa jina la Dodoma Convention Center.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiinua mikono juu ya mgombea wa urais kupitia CCM John Pombe Magufuli mara baada ya kumtangaza rasmi.
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wao
Mke wa Rais ya Jamhuti ya Muungano Tanzania Mama Salama Kikwete (kulia) akicheza muziki pamoja na mke wa mgombea uraisi kupitia CCM ,Janneth Magufuli.
Mgobea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Mhe.John Magufuli akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM na kuwataka kuendelea kushikamana .
Kila mtu alionekana mwenye furaha.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimsalimu mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwainua mikono juu mgombea wa nafasi ya Urais John Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan
Picha ya pamoja na meza kuu.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.John Pombe Magufulu pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Mhe. Magufuli akiwapa mikono wananchi waliojitokeza kwa wingi kuja kumsalimia na kumuona mgombea huyo wa CCM.
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Mgombea wa Urais wa CCM Mhe. John Magufuli akizungumza wakazi wa Dodoma ikiwa sehemu yake ya kwanza kujitambulisha kwa wananchi mara baada ya kutangazwa.
(Picha na Adam Mzee)
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top