Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori
opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida
yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa kuwataahadharisha wale
wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye
chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu
ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu
vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae
pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza
watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA
TAHADHARI
By Mdau
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Sunday, 12 July 2015
Post a Comment