Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAIVA

1 Askari wa kikosi cha bendeara kutoka JWTZ wakiwa kwenye mazoezi kama inavyoonekana pichani.
Askari wa kikosi cha bendera kutoka JWTZ wakiwa kwenye mazoezi.
2 Hiyo ni gadi ya 5 jwtz wakitoa heshima kwa amiri jeshi mkuu
Askari wa JWTZ wakionesha mfano wa kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu. 3 Ni kosi viwili vya ulizi ambavyo ni jwtz na kikosi cha kutuliza Ghasia FFU kukoana polisi Ukonga kama wanavyoonekana
Vikosi vya JWTZ na FFU wakionesha ukakamavu. 4 Hilo ni eneo maalumu la Mnara ambalo shughuli zote za mashujaa wetu zitonyeshwa hapo
Eneo maalumu la mnara ambalo shughuli zote za mashujaa wetu zitaonyeshwa siku hiyo. 5Kamanda wa paredi haonekani pichani akitoa amri kwa askari kushisha silaha
Kamanda wa paredi (hayupo) akitoa amri kwa askari kushusha silaha. 6 Kamanda wa oparedi mabaye pia haonekani pichani akiwashitua askari kama wanavyonekana, HEY
Kamanda wa paredi ambaye  haonekani pichani akiwashitua askari, HEY! 7 kikosi cha Bigura kikitoa heshima kama inavyoonekna.
Kikosi cha Bigura kikitoa heshima. 8 Aska wa JKT Wakitoka nje ya uwanja baada ya kumaliza Paredi
Askari wa JKT wakitoka nje ya uwanja baada ya kumaliza mazoezi. 9 ni Askari wa kikosi maalum kutoka Magereza wakitoka nje ya viwanja vya Mnazi mmoja baada ya kumaliza paredi
Askari wa kikosi maalum kutoka Magereza wakitoka nje ya uwanja baada ya kumaliza maandalizi.
KATIKA kuelekea kwenye tukio muhimu la kuwakumbuka maofisa na wapiganaji wa vita Tanzania ambalo hufanyika kila mwaka ifikapo Julai 25, maandalizi yamekamilika ambapo leo baadhi ya vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa katika mazoezi ya mwisho ndani ya Viwanja  vya Mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar.
Maadhimisho hayo ya siku ya mashujaa yanatarajiwa kupambwa na matukio mbalimbali ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dokta Jakaya Mrisho kikwete ambaye itakuwa ni mara yake ya mwisho kuhudhuria tukio la namna hiyo akiwa madarakani.
Pia sherehe hizo zinatarajiwa kuhudhuiriwa na wazee mashuhuri waliopigana vita. Wageni wengine ni mabalozi kutoka nchi mbalimbali.
Pichani juu ni baadhi ya vyombo vya usalama nchini vikifanya maandalizi ya mwisho.
HABARI/PICHA: DENIS MTIMA NA HARUNI SANCHAWA/GPL
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top