Chama cha wanasheria wa mazingira-LEAT-kwa kushirikiana na wadau wa
kimataifa kimepanga kufungua kesi mahakamani kudai kutenguliwa kwa
miswada ya Petroli wa 2015 na mswada wa kumudu ya mafuta na gesi
kutokana na kukiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya
27 inayotaka rasilimali za nchi zitumike kwa maslahi ya watanzania wote.
Akizungumza na waandsihi wa habari mkurugenzi wa FOE Tanzania Dokta
Rugemeleza Nshala amesema kulikuwa hakuna sababu ya miswada hiyo
kupelekwa kwa hati ya dharura bila kuhusisha maoni ya wadau ambao
wengine ni wataalam katika sekta hiyo na kusisitiza iwapo sheria hizo
zitapishwa watanzania wataendelea kutonufaika kwa rasilimali za nchi yao
kwa miaka mingi zaidi huku wawekezaji wakiendelea kuchota utajiri wa
rasimali za watanzania.
Aidha wakizungumzia kuhusu rasilimali za madini baadhi ya wanasheria
kutoka nchi za Afrika kusini, Togo, Nigeria, Uganda na Cameroon wamesema
viongozi wanapashwa kutambua rasilimali za mafuta, gesi na madini ni
mali ya wananchi wote, hivyo wana haki ya kutoa maoni yao kuhusu namna
bora zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya taifa, badala ya viongozi
kufanya maamuzi binafsi bila ya ushiriki wa wananchi wote.
Chanzo: ITV
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Sunday, 5 July 2015
Post a Comment