Wema Sepetu Amefunguka kwenye Ukurasa wake wa Instagram akiwachana
waandaji wa Instagram Parties Kwa Kutokumlipa Mzee Majuto Pesa zake
baaada ya Wema Kuwaunganishia Mzee Huyo ili Aje kwenye Party yao
iliyofanyika week end iliyopita Hapa Dar es Salaaam.....Ameandika Hivi:
- Waandaaji wa Instagram party sijawapenda kiukweli... Mpaka nimefkia
hatua ya kuandika basi mjue kuwa mmenikwaza... Mlikuja kwangu na
mkaniomba niwatafutie Huyu Mzee wa watu... Kwa moyo mmoja nilifanya
hivyo, Iweje leo hii kashamaliza kazi msitake kumlipa hela yake... Baba
wa watu katoka Tanga na nauli yake, mpaka hotel kajilipia mwenyewe....
Mimi sipendi lawama jamani... Sana sana ikiwa ni kwa wasanii wenzangu...
Sasa hivi naonekana mbaya mimi maana mimi ndo niliewaunganisha na huyu
Baba wa watu... Hawawajui nyie ananijua mimi..... Na kaja kwa heshima
yangu.... Hizo ni dhulma na sio vizuri kumfanyia hivyo Mzee wa watu...
Namuheshimu sana na siwezi kumkosea heshima kiasi hicho... Ila hakuna
neno tumwachie Mungu sio..... @instagrampartytz @instagrampartytz ...
Kiukweli siwezi kuja kufanya kazi na watu kama nyie at all.... You are
nat Loyal..... Plz repost it.....
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Wednesday, 3 June 2015
Post a Comment