MMMH...JOKATE NAYE HAVUMI LAKINI YUMOOO....ANGALIA HAPA ALIVYOPOZI NA
HASHEEM THABIT WAKATI PENZI LIKIWA BADO MOTOMOTO!!!......... IMEFICHUKA:
JOKATE ATAKA KUJIUA! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani
lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara
ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni
kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo
zimesheheni.
Akizungumza katika spesho intavyu na gazeti namba moja la mastaa Bongo, ,
wikiendi iliyopita, Jokate au Jojo alifunguka kwamba, japokuwa
haikujulikana kwa watu wa nje kutokana na usiri mkubwa uliofanywa na
ndugu zake, akiwemo mama mzazi, lakini ameona ni vyema akaweka wazi ili
watu wajifunze namna ambavyo mapenzi yanaweza kuharibu mustakabali mzima
wa maisha ya mtu.
Jokate ambaye amewahi kutajwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa
mbalimbali Bongo wakiwemo staa wa mpira wa kikapu ambaye ni Mbongo
anayekipiga nchini Marekani, Hasheem Thabeet Manka, wanamuziki, Ali
Saleh Kiba, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mtangazaji Millard Ayo wa
Clouds FM, alisema hakuona sababu ya kuendelea kuishi bila mwanaume
huyo..
By Mateja
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Sunday, 7 June 2015
Post a Comment