Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Nyerere’ amewaomba wanawake
wasihadaike na kanga na vitenge wakipewa na baadhi ya wagombea wa nafasi
mbalimbali za uongoziili wawachague.
Steve aliitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akitangaza
nia yake ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya chama
cha mapinduzi (CCM) nakuwahimiza vijana wa Kinondoni wajitokeze
kujiandikisha kwenye daftari la kudumu ili waweze kuchagua viongozi
watakaoweza kuifikisha Kinondoni sehemu wanayotaka.
Katika mkutano huo, Steve alisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo
JB, Wasta, Bi Mwenda, Chuchu Hans, Johari,Ray Nyamayao, Esha Buheti,
Thea na Bi Star
“Kinondoni tunaweza kuondokana na mafuriko kama tutachagua kiongozi
atakayeweza kurekebisha miundombinu ya wilaya yetu”alieleza Steve huku
akishangiliwa.
Mtanzania
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Tuesday, 30 June 2015
Post a Comment