Wema Sepetu hampendi tena Diamond Platnumz na anasema kila anapoukumbua
uhusiano wao, anakumbuka mambo mabaya zaidi kuliko mazuri.
“
Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alikiambia kipindi kifupi cha Kabali cha EFM.
“
Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio
vitu vizuri na ndio maana hata sasa hivi imekuwa hivyo. Vizuri
vilikuwepo lakini mtu anaweza akafanya vizuri akaja kufanya kimoja tu
kibaya na akaharibu vyote tisa,” aliongeza.
Katika hatua nyingine Wema alisema Zari the Bosslady hamtishi katika sekta ya fashion.
“
[Zari] hanitishi kwasababu yeye ana taste yake, mimi nina taste yangu, yeye ni Zari mimi ni Wema,” amesema muigizaji hu
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Saturday, 16 May 2015
Post a Comment