Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Lulu Asema Nyumba Aliyomzawadia Mama yake si ya Kuhongwa, Amejenga kwa Miaka Minne

Mwanzoni mwa mwaka huu (2015) mrembo na muigizaji wa filamu, Elizabeth “Lulu” Michael aliwa-surprise watu wengi pale alipomzawadia mama yake nyumba aliyojenga Kimara, jijini Dar es- Salaam.

Je Lulu aliwezaje kufanya mambo makubwa kama hayo katika umri mdogo na kwa kipato cha kuigiza peke yake? Hayo ni maswali ambayo wengi walijiuliza, kiasi cha kuwafanya wengine waamini kuwa labda amehongwa.

Lulu amesema kuwa nyumba hiyo alianza kuijenga kidogo kidogo miaka minne iliyopita kwa kile alichokuwa anakipata kupitia kazi yake ya uigizaji, lakini watu wengi hawakufahamu mpaka siku alipoitoa kama zawadi kwa mama yake.

Kiukweli ile nyumba nimeanza kujenga nikiwa bado mdogo sana, ni nyumba ya chini ya kawaida lakini nilikuwa najenga kidogo kidogo, kwamba leo nikipata laki nampa mama leo kaongezee hiki…kwahiyo ni kwasababu mtu hajui atashangaa Lulu kapata wapi hela za vuuup, lakini ni kitu ambacho kimeenda kidogo kidogo imechukua hata miaka minne..kwahiyo mtu atashtuka kwasababu ameiskia leo sasa ndo hivyo mtu ataanza kusema kahongwa hajui background.” alisema Lulu kupitia The Sporah Show.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top