Jengo la kituo cha Radio kilichochomwa moto Burundi. Kama ulipitwa na hii Breaking News kutoka Bujumbura Burundi asubuhi ya May 14 2015 zilitoka taarifa kwamba raia hawatoki nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliotangaza kumpindua jana.
Pia kituo binafsi cha Radio kilichotumika kutangaza mapinduzi ya kijeshi kilichomwa moto saa tisa usiku wa kuamkia May 14 2015 na Wanajeshi wanaomtii Rais lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Wa kwanza kushoto ndio Jenerali mwenyewe aliyetangaza mapinduzi, hapa ndio alikua anaondoka kwenye jengo hilo muda mfupi baada ya kutangaza mapinduzi.
Jengo la Radio kabla ya kuchomwa moto.
Hii picha ni wakati Meja Jenerali Godefroid Niyombareh akitangaza mapinduzi hayo kwenye Radio. Endelea kukaa na millardayo.com kwa taarifa zote zinazotufikia kutokea Burundi.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Thursday, 14 May 2015
Post a Comment