|
Diamond Platnumz |
Staa wa Hip Hop Bongo,Hamis Mwinjuma amesema kuwa Staa wa Bongo,Diamond
ana haki ya kutoa maoni na malalamiko yake kuhusu tuzo za muziki za
Kilimanjaro(KTMA) za mwaka huu.
Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena,alisema kilichomtokea Diamond
hata yeye kilimtokea wakati alipotoa wimbo wake wa ‘Bado Nipo Nipo
Kwanza’ ulifanya vizuri wakati huo lakini jina lake halikuwepo kwenye
tuzo hizo.
|
Mwana FA |
‘’
Hata mimi nililalamika kama anavyolalamika Diamond lakini
niliwaandikia barua Killi wakaniita wakanielewesha kuwa ilikuwa ni
makosa ya kibinadamu nikaelewa,’alisema Mwana FA.
Pamoja na hayo amesikitishwa na wasanii Mo Music na Ommy Dimpoz
kutokuwepo kwenye tuzo hizo hasa video ya ngoma ya Ndagushima ambayo
ilifanya vizuri mwaka jana.
Diamond amelalamikia kutokuwepo kwenye kipengele cha msanii bora wa
mwaka,na bendi ya Yamoto kufanya vyema mwaka jana lakini imepata nafasi
finyu kwenye tuzo hizo.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Wednesday, 27 May 2015
Post a Comment