Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Lulu Akiri na Kutoa Sababu ya Kupenda Kutoka na Wanaume Waliomzidi Umr

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.

Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.

SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,

LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile relation leo tumeamka na Maisha Club, kesho tumeamka na Billicanas, kesho tumeamka pale tunakula chips, I need to gain from you, nje ya upenzi unanifundisha nini kwa sababu haimaanishi kwamba mi ntaishi na wewe milele, itafikia siku labda we utaondoka au mi ntaondoka, we ukiondoka mi nikibaki nimejifunza nini kutoka kwako na ntaendelea kuishi vipi.”

“Haimaanishi kwamba napenda kutembea na watu walionizidi umri labda miaka hamsini, napenda kuwa na mtu ambaye angalau ananizidi umri, anauzoefu zaidi yangu, amepitia vitu vingi, anajua vitu vingi kwamba i’ll be there as a girlfriend lakini nakuwa naiba iba kidogo […] na vitu vingine vya kitoto kitoto vingi vinakuwa hamna.” alisema Lulu.

Bongo 5
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top