Imelda mtema
Makubwa! Lile kalio la haja la muuza nyago maarufu kwenye
video za wasanii wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ limesababisha
ajali kati ya bodaboda na Bajaj maeneo ya Sinza-Mori baada ya mrembo
huyo kushuka kwenye gari akielekea saluni.
Agness Gerald ‘Masogange’ akiwa katika pozi.
Shuhuda wa tukio hilo alisema kuwa bodaboda ilikuwa ikitokea upande
wa Baa ya Meeda na Bajaj ilikuwa ikitokea upande mwingine ambapo
muendesha bodaboda alitumia muda mwingi akimtazama Masogange aliyekuwa
akikatiza huku akilitingisha wowowo ndipo jamaa huyo akasababisha ajali.
Agness Gerald ‘Masogange’ akionyesha jinsi alivyoumbika.
“Yaani aliposhuka Masogange tu kwenye gari yule mwendesha bodaboda
hakuwa anaangalia mbele kabisa wakati Bajaj ilikuwa ikija kwa kasi hivyo
akashindwa kuikwepa akaivaa na kumrusha dereva wa bodaboda upande
mwingine kwa kishindo,” alisema shuhuda.
Mpashaji wetu alizidi kuweka wazi kuwa baada ya ajali hiyo kutokea,
watu walikusanyika kitendo ambacho hata Masogange kilimshtua na kumfanya
asimame kuangali tukio hilo.
Hata hivyo, shuhuda huyo alisema madereva hao walielewana na kuyamaliza palepale.
Baada ya gazeti hili kupata ‘ubuyu’ huo, lilimtafuta Masogange ambapo
alikiri kutokea kwa ajali hiyo lakini mwanzo hakujua kama yeye alikuwa
chanzo cha ajali hiyo.
“Unajua mimi nilivyosikia kishindo na watu wakipiga makelele sikujua
kama nilikuwa chanzo hadi niliposikia watu wanaanza kunong’ona maana
hata mimi nilikuwa nashangaa na kujikuta nikicheka tu kwani sikujua
wowowo langu lilisababisha shida,” alisema.ge.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Sunday, 31 May 2015
Post a Comment