Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameweka wazi kuwa mipango yake ya
kuzaa watoto iko palepale na kwamba safari hii angependelea kuzaa watoto
mapacha.
licha ya kwamba Kajala ana binti yake aitwae Paula,atahakikisha
anamtafutia wadogo zake kwani hata yeye amekaa kweny falimia ya watoto
wengi na angependelea na yeye kuwa na familia kubwa.Kajala amebainisha
kwamba hafikirii kupata mtoto na mme wake ambae kwa sasa yuko gerezani
bali anatafuta mwanaume mwenye malengo ya maisha na mwenye kujali
familia.
Licha ya kuwa na mipango yote hiyo Kajala ameelezea ugumu anaoupata
katika lengo lake la kuilea hiyo familia kwani hadi sasa binti yake
paula anakosa raha kutokana na skendo zinazotengenezwa dhidi
yake.Amesema hali hyo iimekua inamnyima raha binti yake huyo hata
anapokua shuleni kwani wenzake humnyooshea vidole kila wakati kutokana
na taarifa ambazo alisema si sahihi kuhusu mama yake..
Mwananchi
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 22 May 2015
Post a Comment