Serikali inaweza kuingia katika mgogoro usio wa lazima na vyombo vya
habari wakati huu nchi inapokaribia kufanya uchaguzi Mkuu, iwapo miswada
ya Huduma ya Vyombo vya habari na wa Sheria ya Haki ya kupata Habari
itapitishwa bila kufanyiwa marekebisho.
Mwenyekiti wa Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini – MOAT Dr Reginald
Mengi ametoa tahadhari hiyo jijini Dar es salaam wakati akizungumza na
waandishi wa habari baada ya mkutano wa Mashauriano ya Amani na Utulivu
nchini, na kusisitiza kuwa kupitishwa kwa miswada hiyo kutasababisha
ukiukwaji mkubwa wa Uhuru wa Habari, uvunjifu wa amani, na ni kifo kwa
vyombo vya habari binafsi nchini.
Akitolea mfano, Dr Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP
amesema kifungu nambari 14 cha muswada wa sheria ya Huduma za Vyombo vya
habari kinatoa amri kwa vituo binafsi vya Utangazaji kujiunga na chombo
cha habari cha umma kwa ajili ya Taarifa ya habari ya kila siku saa
mbili usiku, kinyume na ilivyo sasa, na ni dalili za kurudi tulikotoka.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Friday, 22 May 2015
Post a Comment